Powered By Blogger

Saturday, March 13, 2010

Mchongoano .....

1. Kwenu kumejaa mpaka mende zinacommit suicide.



2. Ati guka yako mzee mpaka chest yake imeandikwa 'THE END'



3. Ati kwenu kuchafu hadi mende wanavaa slippers!



4. Ati Tv yenu ni small mpaka ina scrollbars.



5. Hao yenyu ndogo, ukiingia umetoka.



6.  Wewe mweusi mpaka ukirushiwa mawe inarudi kuitisha torch



7. Wewe mgondi mpaka ukishikilia ten bob Moi anabaki na vest



8. Budako ni fala alienda airport akauliza kama kuna ndege pick-up



9. Budako fala alipaint aerial ya TV ndiyo ireceive color



10. Wewe knock-kneed and chick wako bowlegged mukisimama pamoja

munaspell 'OX'



11. Walls za kwenyu ni thin neighbour akikata kitunguu mnaanza kulia



12. Paka wenu mnoma mpaka aki shika panya inaitisha chumvi



13. Mnapikanga chapo na Robb ndio zikue chapo menthol



14. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afte anakushow good evening?.



15. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt.



16. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder



17. Nyinyi m-mesota mpaka mna-kunywanga chai na kifuniko ya Bic.



18. Ati budako ni mjinga mpaka alipo ingia kwa buu aliambia konda

amshikie chuma ndio atoe pesa.



19. Budako ni fala, alienda kubuy ngombe akaona ikikojoa akasema,

sitaki hiyo, imetoboka.



20. Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.



21. TV yenyu ndogo mpako mukiwatch 100m nyinyi humalizia kuiona kwa ma

neighbours.



22. Wacha kujisikia na kwenyu Easter mulikula Patco na mapera.



23.  Budako mrefu mpaka anauza mahindi kwa watu kwa plane



24.  ati wewe mweusi mpaka unaacha fingerprints zako kwa makaa



25. ati mathako mnono akivaa nguo ya yellow watu hufikiria ni taxi



26. we ni mweusi mpaka mabeste wakikupita wanasema"haiya cheki

shortcut!"



27. we mrefu mpaka ukikunywa maziwa fresh,ikifika kwa tumbo imekuwa

maziwa mala!



28. Budako ako na skin tight mpaka akiwink mguu moja inainuka



29. Nyi muko wengi hadi mukipigwa family photo wengine wanahang kwa

frame



30. ati wewe ni mweusi mpaka badala ya wasee kukuita wao huimba ile

advert ya kiwi" hebu jitokeze, jionyeshe simama mbele ya watu..

12 comments:

Sue said...

Lollest :)

Unknown said...

we ni mshort,ukimbao unaanguka

Unknown said...

Ww ni sura mbaya adi wanakutumia Kama example ya shetani kwa church

Unknown said...

Kichwa yako ni kubwa adi ulipita kando ya stuff room walimu wanakutumia unapeleka wapi desk

Unknown said...

ati kwenu mko wengi hadi dad wako anawatumia kama post za fence

Unknown said...

Una kichwa kubwa mwili mdogo hadi ukiingia kwa matatu unaabiwa mwili free kichwa 30bob

Unknown said...

Una kichwa kubwa mwili mdogo hadi ukizikwa unazikwa design ya lolipop

Unknown said...

Ww Ni moonde Hadi hutumia lastoplas kaa always

Unknown said...

Mmesota Hadi nyi hukula ugali na story ya nyama

Unknown said...

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Unknown said...

waah my ribs hurt

Unknown said...

hahaha